RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULINDA NA KUIMARISHA AFYA ZA WATANZANIA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kulinda na kuimarisha afya za Watanzania hasa wakati huu tunapoelekea kutimiza dira ya kuutokomeza UKIMWI nchini ifikapo mwaka 2030. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Novemba 26, 2021) wakati akifungua Kongamano la Kisayansi la Kitaifa Kuhusu